Facebook

Tuesday, 2 June 2015

Baada ya kutimuliwa Mtibwa Sugar,Mecky Mexime aitwa Taifa Stars.

Tanzania imepata mwaliko wa kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya Taifa ya Rwanda kati ya Juni 6, 7 mwaka huu jijini Kigali, kwenye kumbukumbu ya mauaji ya kimbali.
Tanzania itapeleka kikosi cha vijana U23 katika mchezo huo utakaochezwa mwishoni mwa wiki.
Kufuatia kupata mwaliko huo kikosi cha U23 kitaondoka nchini ijumaa tarehe 5, Juni 2015 kuelekea nchini Rwanda kikiwa na wachezaji 18 chini ya kocha Salum Mayanga.
Kocha wa Mtibwa Sugar Mecky Maxime ameongezwa kwenye benchi la ufundi litakalokwenda Ethiopia kisha nchini Misri kufuatia kocha Salum Mayanga kuwa na timu ya U23 nchini Rwanda

Related Posts:

  • Falcao kutua Darajani Mchezaji Radamel Falcao anayecheza kwa mkopo Old Trafford anataka kubaki kucheza Premier League. Mcolombia huyo ameshindwa kuishawishi Manchester United kumnunua jumla. Falcao amefunga magoli manne tu Old Trafford, mchez… Read More
  • Ivanovic 'kutupiwa virago' Chelsea.Kocha Jose Mourinho ameagiza watu wake wa 'scouting' kutafuta mtu ambae atachukua nafasi ya Ivanovic kutokana na jinsi kiwango chake kiivyoshuka kwenye mechi za karibuni Chelsea. Kwa muda mrefu Ivanovic alikua ni mchezaji wa … Read More
  • Mamadou Sakho aongeza mkataba Liverpool.Mamadou Sakho amemwaga wino na kuongeza mkatana mkataba utakaomfanya aendelee kubaki Liverpool hadi 2020. … Read More
  • Raheem Sterling kuelekea Man United.   Mshambuliaji wa Liverpool Raheem Sterling huenda akaelekea katika kilabu ya Manchester United ,hatahivyo mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 20 ana wasiwasi kuhusu athari za uhamisho huo hususan kutokana na ushinda… Read More
  • Wakala "Ozil anaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu"Dr Erkut Söğüt ambae ni wakala wa Mesut Ozil ametoa maneno ambayo yamewashtua watu wengi labda hasa mashabiki wa Arsenal. Wakala huyo akiongea na vyombo vya habari vya Uturuki alizungumzia uwezekano wa mchezaji… Read More

0 comments:

Post a Comment