Facebook

  • Tutorial 1

    This is Trial

  • Tutorial 2

    This is slide 2 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

  • Tutorial 3

    This is slide 3 description. Go to Edit HTML and replace these sentences with your own words. This is a Blogger template by Lasantha - PremiumBloggerTemplates.com...

Sunday, 30 November 2014

DIAMOND PLATNUMZ AITEKA AFRICA KATIKA TUZO ZA CHANNEL O.

MSANII Naseeb Abdul ‘Diamond Platumz’ ametwaa tuzo tatu za Channel O usiku wa jana nchini Afrika Kusini. Tuzo hizo ni; Most Gifted new comer, Most Gifted Afropop na Most Gifted East kupitia wimbo wake wa Number One. ...

Unataka kujua alichokisema Wema Sepetu huko instagram baada ya Diamond kichukua tuzo 3 CHOAMVA.

Gnyt Instagramers... And Hongera tele ziende kwa kaka platnumz... I must say he did Tanzania proud... ...

Saturday, 29 November 2014

Ifahamu nafasi muhimu ya UKAWA katika sakata la TEGETA ESCROW ACCOUNT.

Wale waliotazama Kikao cha Bunge cha jana, watakuwa walishuhudia jinsi wabunge wa CCM, Waziri Lukuvi na Spika walivyokuwa wakiwabembeleza wabunge wa UKAWA wasitoke nje. Kwa nini? Kamati ya PAC chini ya Zito, ndiyo iliyokuwa imetoa taarifa za mwanzo kabisa kwa mataifa wahisani kwa bajeti ya Tanzania kuwa vigogo wa serikali walikuwa wamechota pesa toka akaunti ya Escrow. Ikumbukwe kwamba kamati ya PAC katika...

LIVE:Yanayojiri Bungeni: Jumamosi, 29 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

SAA 3:00 ASUBUHI Baada ya jana bunge kuahirishwa usiku, Leo saa tatu limerejea tena na aliekalia kiti ni mama Anna Makinda na ameshaahirisha bunge mpaka saa tano asubuhi kupisha vikao vya vyama(caucus) kuketi. SAA 5:00 ASUBUHI  Lukuvi: Wabunge tumetumia fursa ya kukaa kwenye vyama, CCM...

VIDEO MPYA:BEYONCE AWAFUNIKA IGGY,NICKI,J LO NA KIM ANGALIA HAPA

Beyonce amerelease video ya "7/11" na kuonesha kwamba hawezi kupitwa au kushindwa na akina  Iggy, J.Lo or Kim or Nicki.Kwenye video amenesha uwezo wake katika kushake "what her mama gave her"Beyonce alirelease hiyo video ghafla ambapo ipo kwenye album yake ijayo  Imeandaliwa na........                       Samchris S...

Huu ndio ushujaa wa Zitto Jana alivyofanikiwa kumuingiza spika kwenye mtego ambao alikuwa hawezi kutoka

Zitto alikuwa kamchapa Spika Kiufundi Ilikuwa hivi;Bunge lilifikia ukomo wa mjadala na kutakiwa kufanya maamuzi. Wakawa wanatafuta lugha gani ikitumika haitaonyesha Bunge kuingilia Mihimili mingine kama Serikali na Mahakama. Walipofika kumuwajibisha Katibu Mkuu wa wizara ya Nishati...

Yaliyojiri Bungeni: Ijumaa, 28 Novemba 2014 (Hatma ya Sakata la Tegeta Escrow Account)

Jana tulikuwa tunamalizia ngwe yetu ya mwisho bungeni, baada ya wasilisho la ripoti ya PAC, majibu ya serikali na mjadala wa wabunge wa jana, moja kwa moja kutoka Dodoma tuwe pamoja kuimaliza ngwe yetu. TANESCO wameshatoa tangazo rasmi la matatizo ya umeme hivyo chaji zetu ziwe vizuri nafasi ya kupata umeme inapopatikana. ============= Spika ana Makinda ndiye aaliekalia kiti leo na Mwanri...

Kafulila: Nilikuelewa vizuri sana ulipo tofautiana na Mtoto wa Mgimwa.

Kwanza tuhuma alizozitoa J.J.Mnyika zilikuwa na mashiko sana, kwamba kifo cha Mgimwa kina utata na kinatakiwa kichunguzwe na serikali. Kwanza ilianzia kwa Zitto Kabwe kusema wazi kuwa mama yake aachwe apumzike, Zito nilimwelewa, baada ya hapo mtoto wa Mgimwa naye ataomba Baba yake aachwe apumzike na asihusishwe na sakata la Tegeta Escrow Account kwa namna yoyote ile. David Kafulila...

TAZAMA TYGA ALIVYOSHEREKEA THANKSGIVING DAY JANA

Ni kama miezi minne imepita tangu zilipotokea tetesi za kuwa Tyga anatoka na Kylie Jenner aliye na miaka 16,mdogo wake Kim Kardashian West.Tyga alimualika Kylie katika sherehe ya Thanksgiving Day ambapo Kylie hakuwa na wasiwasi wowote alipoonekana akipiga story na Chris Brown na marafiki wengine. Tyga...

WIZ KHALIFA NAYE AJARIBU KUBREAK INTERNET,,LOL!!

Rapper Wiz Khalifa aliwashangaza mashabiki wake pale alipopost picha akaijaribu naye eti kubreak internet kama Kim Kardashian alivyofanya wiki kadhaa zilizopita.Picha hiyo iliyomwonesha akiwa uchi bafuni na kuiweka kwenye Instagram.Alionekana akiwa anajimwagia maji kutoka kwenye chupa kutumia mkono...

Friday, 28 November 2014

Tibaijuka "Nilipokea pesa za ESCROW"

Mjadala kuhusu kashfa ya uchotaji wa mamilioni ya fedha katika akaunti ya ESCROW ya Benki Kuu ya Tanzania umezidi kuunguruma nchini Tanzania kufuatia taarifa ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali, PAC, na ripoti ya serikali kuhusu kashafa hiyo. Mambo yaliyojitokeza katika ripoti ya PAC ni kutaja majina ya viongozi na maafisa wandamizi wa serikali walionufaika na magao huo. Miongoni mwao...

LIVE:-Yanayojiri Bungeni Dodoma: Leo Ijumaa, Tarehe 28 Novemba, 2014

  Habari wakuu, Leo tunamaliza ngwe yetu ya mwisho bungeni, baada ya wasilisho la ripoti ya PAC, majibu ya serikali na mjadala wa wabunge wa jana, moja kwa moja kutoka Dodoma tuwe pamoja kuimaliza ngwe yetu. TANESCO wameshatoa tangazo rasmi la matatizo ya umeme hivyo chaji zetu ziwe...

ASKOFU KILAINI AKIRI KUPOKEA MILIONI 80.5.

  Askofu msaidizi wa jimbo la Bukoba Methodius Kilaini amekiri kupokea milioni 80.5 kutoka kwa James Rugemalira na akisema hii si mara yake ya kwanza kupokea fedha toka kwa mfanyabiashara huyo kwakuwa mara nyingi huwa anachangia kwa uwazi miradi ya jamiii. Na michango amesema michango inayopelekwa...

Zitto kufanya majumuisho ya kamati ya PAC leo hii jioni na kujibu hoja inayomkabili.

  Hiki ndicho alichoandika kupitia ukurasa wake wa facebook   Leo jioni kuanzia saa Kumi na Moja nitafanya majumuisho ya hoja ya Kamati ya PAC kuhusu akaunti ya Escrow na uhalali wa Kampuni ya PAP kumiliki IPTL. PAC itajibu hoja za Serikali na Mimi kama Mbunge Binafsi nitajibu hoja dhidi...

BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya leo Novemba 28.

BantuTz MAGAZETI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa katika kurasa za mbele na nyuma magazeti yote ya leo. ; . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .   Endelea...