Facebook

Monday, 1 June 2015

Waandamana wakiwa Uchi Uganda.

Wanawake katika kijiji kimoja cha kazkazini mwa Uganda wamefanya
maandamano wakiwa uchi kutokana na mgogoro wa ardhi kati ya
utawala wa eneo hilo na jamii ambao umeendelea kwa takriban miaka
10.
Wakati wa maandamano hayo ,mawaziri wa serikali na watafiti
walipanga kukata kipande cha ardhi katika kijiji cha Apaa huko
Amuru.
Maandamano
Utawala wa wanyama pori nchini Uganda unaamini kwamba watu
wanavamia ardhi ya uhifadhi wa wanyama pori huku wakaazi wakidai
kwamba ardhi hiyo ilikuwa ya mababu zao.

Katika kabila la Acholi ,mwanamke
anapovua nguo na kusalia uchi ni zaidi ya kupigana kwa kuwa inatoa
laana kwa mpinzani wake.

Related Posts:

  • Boko Haram Wateka Chuo Cha Polisi Nigeria. Boko Haram wazidi kumlaza macho Raisi Jonathan Moyo Kundi la wapiganaji la kiislam la Boko Haram,wamevamia shule moja ya mafunzo ya kipolisi. kituo hicho cha mafunzo kilichoko kwenye kitongoji cha Gwoza kiko karibu… Read More
  • Watoto wa ajabu wazaliwa India.Watoto mapacha wa kiume wamezaliwa huko India wakiwa na vichwa viwili katika mwili mmoja kitu ambacho inasemekana ni nadra sana kutokea. Madaktari wamesema wanaamini wanauwezo wa kuokoa maisha ya watoto hao ambao wamezaliwa J… Read More
  • Kuku aishi bila kichwa;wengi wapigwa bumbuwazi !  Wakazi wa Kware wakimwangalia jogoo asiye na kichwa ila anatembea!  Wakazi wa eneo la Kware huko Ongata Rongai nchini Kenya wako kwenye mshangao mkubwa kwa kioja ambacho wengi mnaweza msiamini kusikia. Maajabu ha… Read More
  • Africa kusini yafunga Mipaka yake ikihofia Ebola. Kila mtu kwao kwa usalama wetu sote. Nchi ya Africa Kusini inafunga mipaka yake kwa wasafiri kutoka katika nchi za Liberia,Guine na Sierra Leone nchi hizo tatu zimeathiriwa vibaya na mripuko wa ugonjwa wa Ebola Waz… Read More
  • Hatimaye dawa ya Ebola yapatikana. Tabasamu la matumaini baada ya kupata ahueni ya Ebola Hospitali moja nchini Marekani imewaruhusu wamisionary wawili wa kimarekani ambao walikua wakipata … Read More

0 comments:

Post a Comment