Sadio Mane, wa Southampton amevunja rekodi ya kupachika mabao matatu - Hat trick - katika muda mfupi zaidi katika Ligi Kuu ya
England. Mchezaji huyo wa kimataifa kutoka Senegal amepachika mabao matatu- chini ya dakika tatu na kuweka rekodi mpya ya EPL.
Mane amefunga hat trick hiyo katika muda wa dakika mbili na sekunde 56 katika mchezo dhidi ya Aston Villa.
Mane amevunjilia mbali rekodi iliyowekwa na Robbie Fowler miaka 20
iliyopita. Fowler akiichezea Liverpool alifunga mabao matatu katika
muda wa dakika nne na sekunde 33, kwenye mchezo dhidi ya
Arsenal, Agosti 28 mwaka 1994.
Saturday, 16 May 2015
MANE AVUNJA REKODI YA HAT TRICK
Related Posts:
BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA KURASA ZA MAGAZETI MBALIMBALI YA LEO MACHI 31,2015. BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa k… Read More
Viongozi CECAFA wamuunga Mkono BlatterRais wa Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati (CECAFA), Leodegar Tenga amesema Rais wa Shirikisho la Soka Ulimwenguni FIFA, Sepp Blatter amepewa nafasi na viongozi wa Soka Barani Afrika katika kushinda Uchaguzi Mk… Read More
BantuTz MAGAZETINI:SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA KURASA ZA MAGAZETI YOTE YA LEO APRIL 1,2014. BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa k… Read More
CHICHARITO "REAL MADRID NI MAJANGA"Mshambuliaji Javier Hernadez " "Chicharito" amesema kuendelea kukaa benchi katika klabu ya Real Madrid kunamfanya akose furaha na kukosa kujiamini. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Mexico alijiunga na mabingwa hao wa Ulaya mwanz… Read More
Azam FC- Hatujamzuia Kavumbagu Kwenda BurundiUongozi wa Azam FC umesema haujamzuia mshambuliaji wake wa kimataifa, Didier Kavumbagu kurejea kwao kuitumikia timu yake ya taifa ‘Entamba Murugamba’.Katika taarifa yake, Msemaji wa Azam FC Jaffar Idd Maganga,ames… Read More
0 comments:
Post a Comment