Mwanamuziki nyota Taylor Swift ameshinda tuzo nyingi katika sherehe za tuzo za muziki za BillBoard baada ya kushinda nane kati
ya 14 alizoteuliwa kugombea.
Miongoni mwa tuzo alizoshinda ni msanii bora wa kike,kanda bora ya video ya muziki wa ''Shake it off ''pamoja na msanii bora mwaka
huu.
Nyota wa Uingereza Sam Smith alishinda tuzo la msanii mpya bora na kukubali tuzo lake akiwa nyumbani baada ya kufanyiwa upasuaji.
Lakini Kanye West alizomwa alipokuwa akifunga sherehe hiyo kwa kuimba mchanganyiko wa nyimbo zake.
Mashabiki wa muziki walimzoma huku mashemeji zake Kendall na Kylier Jenner wakizitaja nyimbo atakazoimba,huku mashabiki wakiendelea kumzoma.
Monday, 18 May 2015
Taylor Swift ang'ara tuzo za Billboards.
Related Posts:
Balloteli ahamishia vituko kwenye mitandao ya kijamii,,Angalia hapa alichopost Instagram. See You Later Alligator instagram|By mb459… Read More
Filamu ya Biafra kuanza kuonyeshwa Nigeria hivi karibuni. Filamu yenye utata kuhusu vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Nigeria katika miaka ya 1960, itaanza kuoneshwa katika majumba ya sinema kuanzia mwezi Agosti, baada ya wadhibiti filamu kuruhusu ioneshwe. … Read More
Gazeti lamuomba msamaha nyota wa Filamu. Gazeti moja la Uingereza limemuomba radhi mwigizaji nyota wa Marekani George Clooney, juu ya tuhuma ilizochapisha kuwa mama wa mchumba wake alikataa asifunge ndoa na mwanae kwa sababu za kidini. … Read More
Kilichojiri kuhusiana na kesi inayomkabili Oscar Pistorius Upande wa utetezi katika kesi ya mwanariadha wa Afrika Kusini Oscar Pistorius umemaliza kuwasilisha hoja zake za utetezi. Wakili wake, Barry Roux amesema amemaliza kuita mashahidi. Lakini amesema baadhi ya … Read More
FIFA yatupilia mbali rufaa ya Suarez. Fifa imetupilia mbali rufaa ya mshambuliaji wa Uruguay na Liverpool Luis Suarez, ya kupinga adhabu ya miezi minne ya kutokujihusisha na shughuli zozote za kandanda, kwa kosa la kumng'ata Giorgio Chiellini wa Ita… Read More
0 comments:
Post a Comment