Karibu watu 70 wamefariki huko mashariki mwa Nigeria baada ya
lori la kubeba mafuta kushika moto.
Police wanasema huenda kilichosababisha moto huo ni ajali.
Walioshuhudia wanasema dereva wa gari hilo alishindwa kulidhibiti
ndiposa likakosa mwelekeo na kutoka barabarani na kuwagonga watu
waliokuwa wakisubiri usafiri katika kituo kimoja cha mabasi.
Mmoja ya waliokuwa wakishughulika kuwanusuru waliojeruhiwa
amesema magari mengine 12 nayo yalishika moto.
Mikasa ya ajali zinazohusu magari ya kubeba mafuta hutokea mara kwa mara nchini
humo.
Miaka mitatu iliyopita ajali mbaya sana ya moto wa mafuta iliwaua
zaidi ya watu 100 huko Niger Delta katika mkasa uliochangiwa na
watu kuchota mafuta yaliomwagika baada ya gari kubwa la mafuta
kupata ajali.
Monday, 1 June 2015
Lori la mafuta laua watu 70 Nigeria.
Related Posts:
Meli Kubwa Yazama Baharini Korea Kusini Watu wengi waliokuwa katika meli hiyo walikuwa wanafunzi waliokuwa katika ziara ya kisiwa kimoja nchini humo Wazazi, jamaa na marafiki wa wanafunzi waliokuwa katika meli hiyo wanatazama kupitia televisheni picha… Read More
Fahamu ujumbe wa wanafunzi waliowatumia wazazi wao kabla meli haijazama Korea Kusini......soma hapa.... Takriban watu 300 wakiwa bado hawajapatikana, siku moja baada ya ajali, ripoti za ujumbe wa simu uliotumwa na wale waliokuwa wamekwama ndani ya meli hiyo zimeibuka kupitia vyombo vya habari nchini humo. Mwanafun… Read More
WANAFUNZI 200 WATEKWA NYARA NIGERIA.......Boko Haram watajwa Kuhusika...Fuatilia Hapa...... Polisi nchini Nigeria wanasema kuwa shule ya mabweni ya wasichana imeshambuliwa katika jimbo la Borno Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo huku wasichana wakitekwa nyara. Wazazi wanasema kuwa zaidi ya wasichana miambili … Read More
Bado Mamia Hawajapatikana Korea Kusini !!!!!! Zaidi ya watu miatatu bado hawajapatikana baada ya meli iliyokuwa imewabeba wanafunzi kuzama nchini Korea Kusini. Awali maafisa walikuwa wamesema kuwa wengi wa abiria waliokuwa katika meli hiyo waliokolewa. … Read More
Picha ya Rais wa Korea Kaskazini,Kim Jong-Un yazua Mgogoro Mmiliki wa saluni iliyotumia picha ya rais Kim Jong Un Karim Nabbach Viongozi wa Korea Kaskazini walitembelea saluni moja iliyoko mjini London, kutaka kujua ni kwa nini walitumia picha ya kiongozi wao Kim Jong-un k… Read More
0 comments:
Post a Comment