Paul Pogba ana miaka 22, ni mmoja kati ya wachezaji wenyewe umri
mdogo sana wanaotarajiwa kucheza kwenye fainali ya UEFA June
6.Paul Pogba akifanikiwa kushinda ubingwa wa UEFA atakua mmoja
kati ya wachezaji waliowai kushinda kombe hili wakiwa on form na
umri mdogo.
Mchezaji aliyewai kushinda UEFA Champions akiwa na umri mdogo ni
António Simões akiwa na Benfica ambapo waliifunga Real Madrid
May 2 1962 akiwa na miaka 18 na siku 139.
Monday, 1 June 2015
Pogba kuweka rekodi ya kipekee.
Related Posts:
Uholanzi yasonga mbele, Brazil Uholanzi ni timu ya kwanza kufuzu kwa mkondo wa pili wa kombe la dunia. Uholanzi ilitoka mabao 2-1, nyuma na kuishinda Australia mabao 3-… Read More
Uingereza 1- 2 Uruguay Suarez ashangilia bao lake dhidi ya Uingereza Uruguay wameilaza Uingereza 2-1 katika mechi yao ya pili ya kundi D. Luiz Suarez ndiye amefunga mabao yote mawili ya Uruguay Uingereza walikuw… Read More
Siagi ya Uruguay yanaswa Brazil Siagi ya Uruguay ilinaswa na maafisa wa uwanja wa ndege Brazil Wasimamizi wa uwanja wa ndege Brazil wamezuia takriban kilo 39 za siagi ya… Read More
Okocha amlaumu kocha wa Nigeria. Nahodha wa zamani wa Nigeria Jay Jay Okocha amemlaumu kocha Stephen Keshi kwa timu yake kushindwa kucheza vizuri katika mechi yao ya kwanza ya Kombe la Dunia kundi F dhidi ya Iran siku ya Jumatatu. Timu hizo zilitok… Read More
Ghana yakana mgawanyiko kikosini Ghana ilicharazwa na Marekani mabao mawili kwa moja dhidi ya Marekani katika mechi yao ya kwanza Shirikisho la soka nchini Ghana, limekanusha ripoti za … Read More
0 comments:
Post a Comment