Thursday, 6 November 2014
Akimbiwa na Mkewe baada ya madaktari kuupunguza uume wake kwa bahati mbaya
Madaktari nchini Canada wameingia katika matitizo makubwa baada ya kukosea na kumkata mwanaume mmoja sehemu ya uume wake na kupunguza kwa urefu wa inch 1 (sentimeta 2.5).
Kwa mujibu wa QMI la Canada, mwanaume huyo anadaiwa kufika hospitali akihitaji matibabu baada ya kuumia bahati mbaya wakati wa tendo la ndoa na kupata mshituko hivyo kulazimika kufanyiwa upasuaji ili kumsaidia kuituliza mishipa iliyokuwa hatarini.
Lakini baada ya kumaliza tiba aligundua kuwa amekatwa sehemu ya uume wake na madaktari wakadai ilikuwa bahati mbaya.
Kufuatia tukio hilo, anadai alishindwa kufanya mapenzi kwa muda wa miaka miwili hivyo mke wake ambaye jina lake halikutajwa na vyombo vya habari vya Canada, aliamua kuachana nae
Uamuzi wa mwanamke huyo ulimvuruga zaidi mwanaume huyo ambaye ameamua kufungua mashitaka dhidi ya madaktari waliomfanyia upasuaji.
Mwanaume huyo anadai fidia ya $155, 000 kwa uzembe uliofanywa na madaktari hao kwa kuwa inaelezwa hawakufuata taratibu zote za awali kabla ya kumfanyia upasuaji.
“Hii imenifanyia madhara makubwa katika maisha yangu zaidi ya siku niliyoumia miguu yangu na kushindwa kutembea.”
Related Posts:
BantuTz MAGAZETINI:-SOMA KILICHOANDIKWA KATIKA MAGAZETI YOTE YA LEO DESEMBA 11 BantuTz MAGAZETINI:Ni miongoni mwa huduma bora kabisa tunazozitoa ili wewe mdau wa Bantu usipitwe na habari,stori au taarifa yoyote ile.Tunakuletea kila tunachokipata kwa wakati na muda muafaka.Soma kilichoandikwa k… Read More
WhatsApp yavunjisha Ndoa Saudi ArabiaWiki chache baada ya WhatsApp kutambulisha mfumo mpya ambapo iwapo unamtumia message mtu inakuonyesha alama ya tick mbili za kijani na pia inaonyesha muda ambao mtu uliyemtumia message hiyo ameisoma, tayari kuna ndoa… Read More
Harusi ya ajabu;yafanyika chini ya maji,wengi wahudhuria. Maharusi waoana ndani ya bwawa la maji Maharusi wawili walifanya harusi yao katika bwawa lenye lita milioni 1.5 za maji ya bahari . Bwawa hilo hutumiwa kutoa mafunzo ya kupiga mbizi katika kituo cha F… Read More
Mchungaji awaamuru wanawake ambao hawajaolewakatika wavua nguo na kuwabusu "makalio" wapate upako. SIKU ZA MWISHO ZIMEFIKA. Wakati dunia ikiendelea kustaajabu kwa mambo ya "ajabu ajabu" kuhusu imani yanaendelea kujitokeza, sasa imeonekana kuwa kila siku ni afadhali ya jana. Mchungaji mmoja huko nchini Nigeria kwen… Read More
Waishi na maiti wakiamini itafufuka kwa maombi CanadaFamilia moja nchini Canada iliishi na maiti katika chumba cha juu cha nyumba yao kwa miezi sita kwa kuwa waliamini marehemu atafufuka iwapo wataendelea kumuomba mungu,lakini mwili huo ukapatikana baada ya familia hiyo kushind… Read More
0 comments:
Post a Comment