
Kocha David Moyes ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa timu ya
Real Sociedad ya Spain .
Ikiwa imepita miezi 6 tangu Kocha huyo atimuliwe
na Manchester United.David Moyes ambaye alishindwa kuvaa vyema viatu vya
Sir Alex Ferguson amepewa mkataba Wa mwaka mmoja na nusu kuinoa timu
hiyo ya Real Sociedad.Bila shaka hiyo ni fursa nzuri kwa Moyes kurudisha
makali yake kwenye kazi yake ya ukocha.
0 comments:
Post a Comment