BantuTz
MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau
wote wa Bantu waweze kusoma na kupitia kurasa za magazeti mbalimbali
nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata
habari nuhimu baada ya maombi ya wadau mbalimbali.
Tuesday, 11 November 2014
BantuTz MAGAZINE-Soma kilichoandikwa katika Magazeti ya Tanzania leo Novemba 11
Related Posts:
Milipuko ya mabomu yazidi kulikumba Jiji la Arusha Hali ya usalama imezidi kuwa tete katika Jiji la Arusha kufuatia mfululizo wa matukio ya raia kujeruhiwa kwa kinachoaminiwa kuwa mabomu ya kurusha kwa mkono baada ya jana usiku kutokea mlipuka katika mgahawa wa K… Read More
Matokeo kidato cha sita 2014 yatangazwa,Angalia matokeo hayo hapa ! Bofya hapa Chini kuangalia matokeo:- MATOKEO KIDATO CHA SITA 2014 Matokeo ya mtihani wa kidato cha 6 yaliyofanyika tarehe Mei 5 - 21, yametoka na jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamef… Read More
Ukatili mwingine Morogoro Wakati jamii ikiwa bado haijasahau mateso aliyoyapata mtoto Nasra Mvungi na kusababisha kifo chake, tukio lingine la aina hiyo limetokea katika Kijiji cha Matongola, Tarafa ya Magole Wilaya ya Kilosa, baada ya kubainika m… Read More
Arusha yachafuka tena,Bomu lingine lalipuka. Kwa habari tulizozipata hivi punde ni kwamba muda mfupi uliopita kumetokea mlipuko wa mabomu katika mitaa ya Ngarenaro nyuma ya soko la Kilombero. Chanzo cha mlipuko huo hakijajulikana hadi hivi sasa. Bomu hilo… Read More
Tundu Lissu: ‘Tunataka kuziona mashine za BVR’ Mabishano makali yameibuka kwa viongozi wa vyama vya upinzani juu ya kuanzishwa kwa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambalo litatumia mfumo mpya wa BVR. Mabishano hayo yameanza kwa Mbunge wa Singida T… Read More
0 comments:
Post a Comment