Facebook

Saturday, 8 November 2014

BantuTz LIVESTREAMING::Manchester United vs Crystal Palace.

Angalia MechiLiveStreaming kupitia Computer au Tablet yako mechi kali kati ya Manchester United dhidi ya Crystal Palace itakayochezwa huko Old Trafford katika Jiji la Manchester majira ya saa 12:00 kwa masaa ya Afrika Mashariki.

Utaangalia mechi hiyo bila kukwama au kukatika kwa matangazo ya mechi hiyo hata kidogo.

Utafurahia kuangalia mechi hiyo kama utatumia Computer ya aina yoyote ile.

Nunua bundle la shilingi 1000 Tigo au Airtel kisha jiunge 'Unlimited Bundle'-Airtel na 'Bila Kikomo Bundle'-Tigo vivyo hivyo kwa watumiaji wa Vodacom.

Bofya link moja wapo katika ya zilizipo hapa chini.Link moja ikisumbua jaribu kutumia link nyingine.

Live Streaming::Manchestet United Vs Crystal Palace Link 1

Live Streaming::Manchestet United Vs Crystal Palace Link 2

Live Streaming::Manchestet United Vs Crystal Palace Link 3

Live Streaming::Manchestet United Vs Crystal Palace Link 4

Live Streaming::Manchestet United Vs Crystal Palace Link 5

Endelea kutembelea na kufurahia huduma za BantuTz LIVESTREAMING.Tutakuletea Link Za mechi mbalimbali muhimu duniani kote.

Related Posts:

  • Taifa Stars yataabika Zimbabwe   Gazeti la The Herard la nchini Zimbabwe limeandika kuwa wachezaji wa Taifa Stars Ijumaa hii walijikuta wakikaa nje baada ya uongozi wa hoteli hiyo, Pandhari Hotels kudai kutolipwa fedha na shirikiko la soka la… Read More
  • Kikosi cha Spain cha wachezaji 23 wanaoenda Brazil chatajwa...      (Negredo, Llorente, Navas, Herrera, Dani Carvajal wemeachwa.....) Goalkeepers: Iker Casillas (Real Madrid), Pepe Reina (Napoli), David de Gea (Manchester United) Defenders: Cesar Azpilicueta (Chelse… Read More
  • Mtoto wa Pele jela miaka 33 Edinhio Pele alikuwa mlinda lango kabla ya kusataafu soka Mwanawe gwiji wa soka Brazil na duniani kote, Pele, Edinho Pele, amefungwa jela miaka 33 kwa kufanya biashara haramu ya pesa au kujipatia pesa chafu zilizoto… Read More
  • Madai ya ufisadi dhidi ya FIFA yatolewa Katibu mkuu wa shirikisho la FIFA duniani Sepp Blatter Madai mapya ya ufisadi yametolewa dhidi ya shirikisho la soka duniani FIFA kuhusiana na utata uli… Read More
  • Timu zilizoongoza kwa mauzo ya jezi duniani   Timu zilizoongoza kwa mauzo ya jezi duniani Nike's na Adidas's shirts! chelsea ya nne Man u na Real madrid zaongoza TOP 10 : COMBINATED ADIDAS & NIKE 10. Ac Milan (Adidas) = 350,000 09. Inter (Nike) = 425,00… Read More

0 comments:

Post a Comment