Facebook

Sunday, 9 November 2014

BantuTz LIVESTREAMING::SWANSEA CITY vs ARSENAL

Angalia MechiLiveStreaming kupitia
Computer au Tablet yako mechi kali kati ya Swansea dhidi ya Arsenal
itakayochezwa majira ya saa 1:00 kwa
masaa ya Afrika Mashariki.
Utaangalia mechi hiyo bila kukwama au
kukatika kwa matangazo ya mechi hiyo
hata kidogo.
Utafurahia kuangalia mechi hiyo kama
utatumia Computer ya aina yoyote ile.
Nunua bundle la shilingi 1000 Tigo au
Airtel kisha jiunge 'Unlimited Bundle'-Airtel
na 'Bila Kikomo Bundle'-Tigo vivyo hivyo
kwa watumiaji wa Vodacom.
Bofya link moja wapo katika ya zilizipo
hapa chini.Link moja ikisumbua jaribu
kutumia link nyingine.

Live Streaming::Swansea City vs Arsenal Link 1

Live Streaming::Swansea City vs Arsenal Link 2

Live Streaming::Swansea City vs Arsenal Link 3

Live Streaming::Swansea City vs Arsenal Link 4

Live Streaming::Swansea City vs Arsenal Link 5

Live Streaming::Swansea City vs Arsenal Link 6

Live Streaming::Swansea City vs Arsenal Link 7

Endelea kutembelea na kufurahia huduma
za BantuTz LIVESTREAMING.Tutakuletea
Link Za mechi mbalimbali muhimu duniani
kote.

Related Posts:

  • Majeruhi wazidi kuongezeka ArsenalKiungo wa Arsenal Jack Wilshere hatocheza dhidi ya Burnley siku ya Jumamosi kwa sababu ya jeraha la goti. Kieran Gibbs naye atatazamwa kama ataweza kucheza, huku Matheiu Debuchy, Yaya Sanogo, Laurent Koshielny, Mesut Ozil, Ab… Read More
  • Manchester City yatolewa Capital One Mechi za kombe la ligi ya CAPITALA ONE CUP zimeendelea usiku wa kuamkia leo viwanjani. Manchester City ikicheza nyumbani ilijikuta ikiwaduwaza mashabiki wake baada ya kukubali kichapo cha mabao 2 bila majibu kutoka kwa N… Read More
  • Chelsea yapeta Capital One Cup. Didier Drogba ameipa ushindi Chelsea wa mabao 2-1 dhidi ya Shrewsbury. Mchezo huo wa kombe la ligi marufu kama capital one, umechezwa usiku wa kuamkia leo. Timu kadhaa zilijitupa uwanjani ili kutafuta nafasi ya kuingia rob… Read More
  • VAN GAAL :MOURINHO AMEJIJENGA MWENYEWE Meneja wa Manchester United Louis van Gaal amesisitiza kuwa hajafanya lolote kubwa kusababisha Jose Mourinho kuwa moja ya makocha wenye mafanikio duniani. Mourinho, ambaye ni meneja wa Chelsea kwa sasa, alifanya kazi chini y… Read More
  • Diego Costa hatihati. Diego Costa huenda akacheza katika mechi ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Manchester United licha ya kuugua na kulazimika kupelekwa hospitali. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Spain, 26, amekuwa akipata nafuu akiwa nyumbani na … Read More

0 comments:

Post a Comment