Salama Jabir amepata shavu la kuonekana
kwenye Tv tena akihost kipindi cha Tujuane
ambacho kitakuwa kinaonekana kupitia
televisheni ya Kenya. Katika kipindi hicho cha
Tujuane Salama Jabir atakuwa akishirikiana na
mtangazaji wa Kenya Malonzi.
Kipindi hicho ambacho kitaanza kurushwa
kupitia Dstv, Maisha Magic Pamoja na channel
161 kitakuwa kikihusu mahusiano na hasa
wale watu wanaotafuta mahusiano.
Wednesday, 12 November 2014
Salama aula DSTV
Related Posts:
Birthday ya Vicenti Kigosi "ray", Johari ampa salamu tata !! Jana mwigizaji maarufu nchini Vicent kigosi - Ray amesherehekea siku yake ya kuzaliwa huku akipata salamu mbalimbali za pongezi toka kwa mastaa mbalimbali nchini. Moja ya watu wa kwanza kw… Read More
Rapper Eve aolewa Msanii maarufu wa miondoko ya kufokafoka - rap- nchini Marekani Eve, ameoana rasmi na mchumba wake Maximillion Cooper, katika mji wa Ibiza nchini Spain. Cooper ni muasisi wa mashindano ya mbio za magari za Gumb… Read More
Alichokisema Wema Sepetu Kuhusu Penzi lake na Diamond. Wema Sepetu amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz kwa sasa ni imara kwa kuwa wamepitia mambo mengi pamoja yaliyowafunza mengi. Akiongea hivi karibuni akiwa jijini Durban, Afrika Kusini alikoenda kuhudhuria t… Read More
Wema mama Kijacho,anasa mimba ya Diamond.! ‘Beautiful Onyinye’ na kipenzi cha Diamond, Wema Sepetu sasa ni mjamzito. Baada ya misukosuko ya muda mrefu ikiwemo kuporwa … Read More
Penny afunguka baada ya kupona. MTANGAZAJI wa maarufu wa runinga Bongo, Peniel Mungilwa ‘Penny’ amefunguka kuwa ugonjwa uliompiga juzikati ulikuwa ‘serious’ kiasi cha kuona ni Mungu tu amemwokoa. Akichezesha taya na paparazi wetu, Penny al… Read More
0 comments:
Post a Comment