Polisi nchini Pakistan wanawashikilia
wanaume watatu kwa kosa la utumizi dawa
za kulevya na ubakaji kwa mgonjwa
aliyefuata matibabu katika hospitali ya
serikali.
Mwanamke huyo, ambaye alijifungua hivi
karibuni,alikwenda katika eneo la Burewala
Mashariki ya jimbo la Punjab,iliko hospitali
hiyo na alikwenda hapo akiwa na mumewe
pamoja na mtoto wao mchanga kwa uchunguzi
wa kitabibu.
Mume wa mwanamke huyo alimwacha mkewe
kitambo kifupi tu na aliporejea eneo
alipokuwa ,hakumkuta ila mtoto na begi la
mwanamke huyo vimetelekezwa.
Saa kadhaa baadaye,alimpata mkewe akiwa
amelala katika chumba chenye kiza ,kilichomo
katika hospitali hiyo na kuthibitika kuwa
amebakwa .
baada ya fahamu kumrejea mwanamke huyo
alisema kwanza alichomwa sindano na
wanaume hao watatu kisha wakaanza kumbaka
kwa zamu.Wanaume wote hao ni wanafanya
hospitalini hapo.
Friday, 14 November 2014
Wanaume 3 mbaroni baada ya kumbaka mwanamke aliyetoka 'kujifungua'
Related Posts:
Maafisa wa kikosi cha ulinzi cha rais nchini Burkina Faso wametangaza kuvunja serikali ya mpito. Maafisa wa kikosi cha ulinzi cha rais nchini Burkina Faso wametangaza kuvunja serikali ya mpito. Badala yake "Baraza la Kidemokrasia na Kitaifa" ndio litachukua udhibiti na kumaliza "utawala dhalimu", amesema afisa mmoja kupi… Read More
BantuTz MAGAZETINI:Soma kilichoandikwa katika magazeti yote ya leo Jumamosi,Juni 06 MAGAZETINI-Ni uratatibu ambao BantuTz imeuanzisha ili kuwawezesha wadau wote wa Bantu waweze kusomana kupitia kurasa za magazeti mbalimbali nchini kila siku asubuhi ili kuwasogezea karibu zaidi huduma kupata hab… Read More
Muhudumu wa ndege ambagua mwanamke na kuzua tafrani kubwa Marekani. Neno ubaguzi ni kama lilianza kusahaulika hivi duniani,lakini kwa sasa linasikika karibu kila siku, matukio ya watu wenye asili ya Afrika kupigwa risasi Marekani yalichukua headlines kubwa sana na bado hay… Read More
Wakuta chura ndani ya kopo wa tomato Mtu na mkewe waliokuwa wakiandaa chakula cha mchana walipigwa na butwaa walipopata chura kilichokuwa kimekufa ndani ya mkebe wa tomato. Muhammad na Sanam Hussain waligundua hayo wakati bi Hussain alipokuwa akipika mchuzi … Read More
Google yamuorodhesha Waziri Mkuu wa India kama muhalifu kimakosa. Kampuni ya mtandao wa Google imeomba radhi baada ya picha za waziri mkuu wa India Narendra Modi kuonekana katika picha za watu kumi wahalifu. ''Tunaomba radhi kwa kuchanganyikiwa na kutoelewana ambako kumesababishwa na pi… Read More
0 comments:
Post a Comment