Memphis Depay amekamilisha vipimo vya afya Old Trafford siku ya jana Jumatatu. Kwa mujibu wa tovuti ya Man Utd, klabu hiyo sasa itashughulikia kukamilisha usajili wakati dirisha la usajili la kimataifa litakapofunguliwa mwezi Juni.
Tuesday, 19 May 2015
Memphis Depay afuzu vipimo vya afya Old Trafford.
Related Posts:
Hatimaye Shinji kagawa arejea Dortmund.Kiungo mshambuliaji Shinji Kagawa aliyenunuliwa na Manchester United kutoka Borrusia Dortmund miaka miwili iliyopita,hatimaye leo hii amerejea kunako klabu yake hiyo ya zamani. Shinji kagawa amesaini mkataba wa miaka minne na… Read More
Daley Blind atua Manchester UnitedHizi ni baadha picha za mchezaji mpya wa Manchester United aliyesajiliwa kutoka Ajax Amsterdam kwa ada ya uhamisho wa Paundi milioni 14. Anatarajiwa kumaliza taratibu za kujiunga na klabu hiyo ndani ya masaa 12 yajayo. … Read More
MANCHESTER UNITED YARUDI TENA KWA JORGE MENDES Hali inazidi kuchafuka barani ulaya,ndege zinazidi kupishana hii inatoka huku nyingine inatoka kule kwaajili ya kukamilisha jambo. Sasa kuna habari imetoka kwamba uongozi wa United wameamua kumwendea JORGE MENDES wakala wa R… Read More
WENGER "YUKO MACHO" KUTAFUTA MSHAMBULIAJI Meneja wa Arsenal Arsene Wenger anataka kununua mshambuliaji mpya kabla ya dirisha la usajili kufungwa Jumatatu. Huku mshambuliaji wao Olivier Giroud akiwa majeruhi, Arsenal walilazimishwa sare ya 1-1 na Leicester iliyopanda… Read More
ARSENAL YAJITOA KUMUWANIA REMYKlabu ya Arsenal imejitoa ghafla katika mbio za kuifukuzia saini ya mshambuliaji wa QPR Mfaransa Loic Remy masaa machache baada ya kudaiwa kuwa imerudi kumuwania tena siku ya jana. Sasa milango iko wazi kwa nyota huyo kutua C… Read More
0 comments:
Post a Comment