Harouna Niyonzima amekubaliana kimsingi na Yanga kusaini mkataba
mpya na club hiyo kwa muda wa miaka 2. Bado hajasaini makaratasi
lakini makubaliano yameshafanyika kati ya pande mbili.
Tuesday, 19 May 2015
Niyonzima akubali kuongeza mkataba Yanga.
Related Posts:
Manchester United kukamilisha usajili wa Toni Kroos Klabu ya Manchester United jana usiku ilikuwa katika hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa kiungo Toni Kroos kutoka klabu ya Bayern Munich ya Ujerumani. Kwa mujibu wa vyombo vya habari vya Uingereza United tayari wa… Read More
Man Utd kumnasa Toni Kroos kwa Paundi Milioni 20,Yaamishia rada kwa Arjen Robben United wamekubaliana na Bayern Munich kuuziana Toni Kroos (katikati). MANCHESTER United amekubaliana dili la kumsajili kiungo wa Bayern Munich, Toni Kroos na sasa wanajipanga kuiw… Read More
Patrice Evra asaini mkataba wa mwaka mmoja Man Utd BEKI mfaransa, Patrice Evra ameongeza mkataba wa mwaka mmoja Manchester United , klabu imethibitisha. Evra alitazamiwa kuondoka baada ya United kuweka ofa ya paundi milioni 27 kwa beki wa kushoto w… Read More
Usajili na tetesi zake England *Moyes atakiwa akawanoe mabingwa wa Scotland *Balotelli kurudi EPL, QPR wawataka Rio, Lampard WAKATI dirisha la usajili wa majira ya kiangazi likiwa wazi hadi Agosti, timu zimeanza kupigana vikumbo kutafuta wachezaj… Read More
Samuel Eto’o, Lampard, Cole na Mtanzania Nditi kuachwa na Chelsea May 23 2014 inaingia kwenye historia hata kwa Watanzania wenyewe manake kuona mkali wetu ameachwa kwenye kikosi cha Chelsea msimu ujao sio habari njema. Kwa mujibu wa tovuti ya Premier League, Frank Lampard A… Read More
0 comments:
Post a Comment