VYOMBO vya habari nchini Italia, vimeripoti kuwa Silvio Berlusconi
amethibitisha kuwa atamtimua meneja wa AC Milan Filippo Inzaghi
mwishoni mwa msimu baada ya matokeo yasiyoridhisha.
Berlusconi ambaye ndiye mmiliki wa timu hiyo amesema Inzaghi
amekuwa na mahusiano mazuri na kikosi chake lakini mara kadhaa
wamekuwa wakipishana kutokana na maono tofauti.
Bilionea huyo aliendela kudai kuwa jambo in kitu ambacho wanataka
kuzungumza na kocha huyo muda ukifika kabla ya kuamua cha
kufanya.
Berlusconi amesema kwasasa wanajipanga na tayari wameshapata
majina kadhaa ya makocha kama wakishindwa kufikia muafaka na
Inzaghi.
Tuesday, 19 May 2015
SAFARI YA INZAGHI YANUKIA AC MILAN.
Related Posts:
Ferdinand asajiliwa rasmi QPR Beki wa zamani wa Manchester United Rio Ferdinand, 35, amesaini mkataba wa mwaka mmoja kuichezea QPR. … Read More
Demba Ba atua rasmi Uturuki kwa £8m Demba Ba sasa kuvaa jesi ya Besiktas ya Uturuki Usajili mpya na mikataba mipya kwa wachezaji vinara ndio shughuli kuu inayoendelea sasa kabla msimu mpya wa michuano kuanza.. Pamoja na kasheshe zinazomuandama, Suarez s… Read More
Filipe Luis rasmi Chelsea Chelsea wamemsajili beki wa kushoto wa Atletico Madrid, Filipe Luis kwa mkataba wa miaka mitatu, na kwa kitita ambacho hakikutajwa. Mchezaji huyo kutoka Brazil atavaa jezi namba 5, imesema Chelsea. "Ndo… Read More
Arsenal yamnasa Debuchy,Newcastle yakamilisha usajili wa Janmaat Arsenal imemsaini Fulbeki Mathieu Debuchy kutoka Newcastle. Debuchy, Miaka 28, alikuwa mmoja wa Wachezaji wa France waliocheza Kombe la Dunia huko Brazil na ameletwa Emirates kuchukua nafasi ya Bacary Sagna ambae … Read More
Tetesi za usajili katika magazeti mbalimbali barani Ulaya. Kiungo wa Manchester City Yaya Toure, 31, amekataa kujiunga na Manchester United (Daily Star), kiungo wa Everton Ross Barkley, 20, anatazamwa na Man City kuziba nafasi ya Yaya Toure, iwapo atalazimisha u… Read More
0 comments:
Post a Comment