Mchezaji mwenye soka la kuvutia wa timu ya taifa ya Ubelgiji na Clabu ya Chelsea,amesema hafikirii kuhama Darajani kwa siku za hivi karibuni.
Hazard alisema,"Chelsea ilikuwa ni chaguo langu la kwanza, Kwa Sasa najua ulikuwa ni uamzi wangu sahihi na najiskia mwenye furaha sana kuwa hapa"
Hazard alipoulizwa kuhusu kuhamia Real Madrid alisema , "hayo mmesema ninyi,lakini malengo yangu ni kubaki hapa."
Kwa habari hizi na nyingine nyingi endelea kutembelea www.bantutz.com.
0 comments:
Post a Comment