Facebook

Tuesday, 11 November 2014

ESCROW YAITESA KAMATI YA NISHATI.

 .
Katika hali ya kawaida ufisadi katika sekta ya nishati ulishikiwa bango na kamati ya nishati tangu zama za Shelukindo mpaka January Makamba.
Tofauti na nyakati hizo, sasa kamati ya nishati chini ya Mwambalaswa ambae ni makam bodi ya Tanesco imejigeuza kuwa PR company ya wizara huku wajumbe wengi wakilipwa na Katibu mkuu wa wizara Bw Maswi. 

Ndio sababu kamati ya nishati kuwa kimya kipindi chote na kugeuka wapiga makofi wa wizara. Hii ndio kamati pekee ambayo imepata kuongozwa na kiongozi wa Tanesco inayosimamiwa na kamati hiyo.

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment