Kumekuwa na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na Vikosi vya Serikali ya Syria kupambana na wapiganaji wa IS ambazo bado hazijafanikiwa sana kutokana na changamoto mbalimbali.
Wapiganaji wa Dola ya Kiislamu Syria IS, wameuawa kwa kuwekewa chakula chenye sumu ambapo wapishi wa chakula hicho wametajwa kushirikiana na kikosi cha Syrian Free Army.
Mashuhuda
wamesema wamewaona wapiganaji kumi na watano wakiwa wanakimbizwa
Hospitali ya jirani huku wapishi hao wakikimbia na familia zao kutoka
kambi ya Fath El-Sahel baada ya tukio hilo.
0 comments:
Post a Comment