Facebook

Wednesday, 12 November 2014

FAMILIA YA KIKWETE YAHUSIKA NA UFISADI WA ESCROW.

Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion.Imefahamika kwamba Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi beach hotel tarehe 8 oktoba 2013 kuwa kiasi kilichobaki (128m au zaidi ya 200bn), PAP watalipwa kila mwezi bilioni 8 mpaka deni kwisha. 

Kampuni hii ya PAP iliyopewa tuzo hiyo ya Bilioni 400 kwa kuwekeza milioni 6 Tsh tu ni ya nani? Kwa mujibu wa nyaraka za BRELA, 50% inililiwa na Singh Sethi(singasinga) na mwanae na asilimia 50% zinamilikiwa na kampuni ya Simba Trust ya Australia.
Simba trust ni nan.? Uchunguzi umeonesha kuwa Simba trust ya Australia inamilikiwa na watu wawili ambao ni salima Kikwete na Miraji Kikwete.
Uwepo wa majina haya mawili kama wamiliki wa PAP inatafsiriwa kuwa ndio sababu kuu ya Jakaya Kikwete kuvuta miguu huku nchi ikiumia.

Kwa mkataba huu wa IPTL wa milioni 100 wa miaka 20 (1995-2015), umeongezwa miaka mingine 20 (2013-2033)kwa kuzalisha 500MW.
Kwa mujibu wa mkataba huu, kampuni ya PAP italipwa 400m kila siku kama capacity charges . Maana yake singasinga mwenye 50% atapata 200m kila siku. Na watoto wawili wa JK watapata kila mmoja 100m kila siku  hadi 2033.

Uwepo wa familia ya JK kwenye ufisadi huu inadaiwa ndio Kinga ya wahusika ; Muhongo, Werema, Maswi, Mramba, Likwilile na hata waziri mkuu kutetea

Ushahidi unakwenda kuonesha kuwa hata uamuzi wa Gavana kuruhusu fedha hiyo itoke kimakosa ni baada ya kupata MEMO kutoka Katibu wa rais Bw Mbena ikisema Rais kaelekeza.
Na ni sababu hiyo pia baada ya Dr Hosea kuwasilisha report kwa raisJakaya Kikwete alisoma na kumjibu achana nayo na ndio maana mpaka sasa report hiyo haijapelekwa kwa DPP ili.wahusika wafikishwe mahakamani.

Ukweli utasimama!

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment