Kiungo wa Arsenal Jack Wilshere hatocheza dhidi
ya Burnley siku ya Jumamosi kwa sababu ya
jeraha la goti. Kieran Gibbs naye atatazamwa
kama ataweza kucheza, huku Matheiu Debuchy,
Yaya Sanogo, Laurent Koshielny, Mesut Ozil,
Abou Diaby na Olivier Giroud, wote
hawatokuwepo.
Saturday, 1 November 2014
Majeruhi wazidi kuongezeka Arsenal
Related Posts:
Man City wanukia ubingwa England !!! Man City wanaelekea kileleni mwa ubingwa wa ligi ya Uingereza Ilitarajiwa kwamba Manchester City itapiga hatua, lakini kwa mabao 4 - 0 dhidi ya Aston Villa, ilikuwa kweli mavuno yaliyowarej… Read More
Ujerumani yatangaza kikosi cha wachezaji 30 watakaochujwa hadi kubaki 23 kwa ajili ya kombe la dunia KIKOSI KAMILI:Goalkeepers : Manuel Neuer (Bayern Munich), Roman Weidenfeller (Borussia Dortmund), Ron-Robert Zieler (Hannover) Defenders : Jerome Boateng (Bayern Munich), Erik Durm (Borussia Dortmund), Kevin … Read More
Unajua kwamba Yanga yaingia makubaliano na benki TPB..fuatilia hapa ..? Klabu ya Young Africans imeeingia makubaliano na Benki ya Posta nchini juu ya mabadiliko ya utengenezaji wa kadi za wanachama kutoka kwenye mfumo wa zamani (analogy) kwenda kwenye mfumo mpya wa kisasa (digit… Read More
Usain Bolt asaka viatu vyake Viatu vya Bolt vinagharimu pauni elfu 20 hizo ni dola elfu 34 za kimarekani Mwanariadha Usain Bolt hana raha, anatafuta viatu… Read More
Manchester City mabingwa Uingereza Hatimaye Manchester City wamefanikiwa kunyakua ubingwa wa England katika siku ya mwisho ya Ligi Kuu, ambapo walikuwa wakihitaji pointi moja tu kutawazwa wafalme. Vijana hao wa Manuel Pellegrini hawakufanya makosa walip… Read More
0 comments:
Post a Comment