Jackei Cliff ambaye anaskendo za kukamatwa na madawa ya kulevya huko China,December 2013 zilitoka stori kwamba
Mtanzania Jackie Cliff ambae ni mrembo aliewahi kutokea kwenye video
kadhaa za wasanii wa bongofleva amekamatwa na dawa za kulevya huko
China.Jackie Cliff ambaye inasemekana ni mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva,Jux ambaye amehojiwa baada ya picha kadhaa kusambaa akitengeneza video yake mpya huko China na mrembo
ambae hajaonekana sura, ishu ambayo imefanya wengi wahisi kwamba ni
Jackie Cliff.
Jux amedai kwamba hiyo video hajafanya na Jackie Cliff na kusisitiza kwamba kutomuweka Jack kwenye
hiyo video ni kutokana na sababu zake binafsi na wala hataki kuzungumza
zaidi kuhusu hizo ishu.
Jux "‘siwezi kusema ila kama atakuepo kwenye video au hatokuepo… ni watu wenyewe wataona’"
Jux VILEVILE amekanusha
stori za kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Vanessa Mdee ‘V money’ kwamba
ni rafiki yake tu ila hakuna kingine cha zaidi ya urafiki wa kawaida waliokuwa nao.
0 comments:
Post a Comment