Facebook

Monday, 14 April 2014

JIONEE SAMAKI WA AJABU


 Wanakijiji wa  Mchangamle, Kazimkazi walikusanyika kwa pamoja kumshangaa samaki huyu wa ajabu ambaye hajawahi kuonekana katika maeneo yao
 kutokana na umbo kubwa alilokuwa nalo na rangi za ajabu kama duma au chui.Lakini ni samaki na anabaki baki kama kiumbe cha ajabu kuonekana katika maeneo hayo

0 comments:

Post a Comment