Facebook

Monday, 14 April 2014

ANGALIA KATIKA PICHA NAMNA MASHABIKI WA TIMU YA AZAM FC WALIVYOFURIKA UWANJA WA NDEGE KUIPOKEA TIMU YAO ILIYOTANGAZWA BINGWA WA VPL




10014646_10203375279610005_6518411106269941460_n
Mashabiki wa Azam FC wakiwa uwanja wa ndege tayari kuwasubiri mabingwa wapya wa Ligi Kuu Tanzania Bara,Azam FC baada ya kuwafunga jana Mbeya City kwa Magoli 2-1.
1551479_10203375277289947_2283527863679780336_n
10155723_10203375287570204_2290232157453347263_n
10167990_10203375283370099_3096012287134910944_n

0 comments:

Post a Comment