Facebook

Tuesday, 2 June 2015

Huu ndio mti unaosababisha Ebola Guinnea

Kuna mti unaodaiwa kusababisha mlipuko wa Ebola nchini Guinea.Kundi moja la wavulana liliwapeleka mwandishi katika mti huu.
Walielezea kwamba siku moja waliwasha moto katika mti huo na popo wakaanguka kutoka kwa mti huo.
 Waliwajaza popo hao katika mifuko na kuwala.Wakati huo hakuna mtu ambaye alikuwa amewahi kufariki na mlipuko wa Ebola.

Related Posts:

  • Obama:Iraq inahitaji msaada. Rais wa Marekani Barack Obama amesema serikali yake inatazama "njia mbalimbali" ikiwemo nguvu za kijeshi kuisaidia Iraq kupambana na wanamgambo. Obama amesema Marekani ina nia ya kuhakikisha wapiganaji hawachukui tena… Read More
  • Kiongozi ataka vijana wajihami Nigeria Wapiganaji wa Boko Haram wamekuwa wakiwahangaisha wananchi kwa miaka mingi Kiongozi mmoja wa kijamii katika mji wa Chibok Nchini Nigeria ameiomba serikali ya taifa hilo kuwaruhusu kubuni makundi ya vijana waliojiham… Read More
  • Atafuna Moyo wa binadamu Afrika Kusini..   Mtuhumiwa alipatikana akila moyo wa binadamu kwa kisu na uma Polisi nchini Afrika Kusini wanachunguza t… Read More
  • Mhubiri mwingine auawa nchini Kenya Marehemu Sheikh Mohammed Idris ameuawa na watu wasiojulikana Hali ya ulinzi imeimarishwa mjini mombasa kufuatia kuuwawa kwa Muhubiri mmoja wa kiisilamu m… Read More
  • Mashoga wapinga Urais wa Kutesa UN Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uganda, Sam Kutesa. Uwezekano wa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uganda, Sam Kutesa, kushinda cheo cha Urais wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kumeanzisha mjadala mkali nchini Uganda,… Read More

0 comments:

Post a Comment