Monday, 14 April 2014
ANGALIA KATIKA PICHA MAKAMU WA RAIS DKT. GARIB BILAL NA BAADHI YA VIONGOZI WENGINE WALIONUSURIKA KATIKA AJALI WAKIKAGUA MAENEO YALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO
Makamu wa Rais Dkt.Garib Bilal akiongea na Waandishi wa Habari baada ya kukagua Ujenzi wa marekebisho ya daraja la Mpiji linalounganisha Dar es Salaam na Bagamoyo lililoadhiriwa vibaya na mvua kubwa zinazonyesha
Katibu mkuu wa wizara ya ujenzi, Injinia Mussa Iombe,akimuonyesha Makamu wa Rais, Dkt.Garib Bilal sehemu ya daraja la Mpiji linalounganisha Bagamoyo na Dar es Salaam lililokatika kutokana na mvua kubwa zinazonyesha
Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal akitoa maelekezo kwa katibu mkuu wa wizara ya Ujenzi Injinia Mussa Ibrahim Iombe wakati alipotembelea kukagua maendeleo ya ujenzi wa Daraja la Mpiji lililokatika kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha, katikati ni mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Said Mecky Sadick.
Malori yakiendelea kumwaga vifusi vya mawe kwenye daraja la Mpiji
Kifusi kinachoendelea kuwekwa kwenye Daraja la Mpiji
Nguzo za umeme baada ya kuzidiwa nguvu na maji yaliyobomoa daraja.
Endelea kupata taarifa mbalimbali zenye mantiki na mashiko kwa wakati sahihi hapapa.......
katemimethsela.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment