Mchezaji bora wa Dunia Christiano Ronaldo ametwaa Tuzo
mbili za ligi kuu ya spain mchana wa leo.Ronaldo ambaye mpaka sasa
anaongoza kwa magoli katika ligi ya Spain amechukua Tuzo ya
mfungaji bora Spain maarufu kama Pichichi na Tuzo ya
heshima ya gwiji Di Stefano.Ronaldo amechukua Tuzo ya pichichi baada ya
kuibuka mfungaji bora msimu uliopita.Kwa Tuzo hizo Ronaldo anaendelea
kujihakikishia nafasi ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa Dunia na
kumbwaga mpinzani wake wa karibu Leonel Messi
0 comments:
Post a Comment