
Mimi nasema tena kuwa mimi nimwanachama hai wa CHADEMA, Nimemsema mh.
Mbowe kwakuwa yeye ndiye mwenyekiti wetu na mkuu wa kambi rasmi ya
upinzani bungeni, haya yanayoendelea kukishushia heshma chama hayaoni?
Dr. Slaa naye kama katibu wa chama hayaoni?.
Ni aibu kubwa sana taasisi kubwa...