Facebook

Friday 30 May 2014

Ujumbe mzito aliyoandika K-Lyine kwenda kwa mheshimiwa Mengi siku ya Birthdayya Mheshimiwa huyo.....

Leo ni siku ya kuzalia ya Mzee wetu, Reginard Mengi kama ilivyo kwawida kwa marafiki, wapenzi, ndugu na jamaa, kupitia akaunti yake ya INSTAGRAM, mwanamama Jacqueline Ntuyabaliwe aka K-Lyin amemtumia  salamu mzazi mwenzie  kwa kuweka picha hii:
Nakuandika ujumbe huu:

"Wishing my love,best friend,father of my kids and the most wonderful human being I know Reg,a Very Happy Birthday With all my love"
 
Katemimethsela.blogspot.com inakutakia heri na misha marefu mazee...

0 comments:

Post a Comment