Wachezaji wawili wa timu ya taifa ya Ujerumani itakayoshiriki kombe la dunia hukop Brazil mwezi ujao
wamenusurika baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani wakiwa Italia.
Benedikt Hoewedes na Julian Draxler walikuwa
ndani ya magari tofauti katika hafla iliyoandaliwa na kampuni ya magari
ya Mercedes .wamenusurika baada ya kuhusika katika ajali ya barabarani wakiwa Italia.
Mwathiriwa moja anauguza majeraha mabaya .
Hoewedes na Draxler ni wachezaji wa timu ya Schalke 04 walioitwa katika timu ya taifa.
Wenyeji wao kampuni ya Mercedes-Benz imetoa taarifa kusema kuwa itashirikiana na maafisa wa polisi kutathmini kilichotokea .
Timu hiyo ya Ujerumani inatarajiwa kuendelea na kambi ya mazoezi katika mji wa Tyrol Kusini mwa Italia hadi juni mosi.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali za michezo kwa muda na wakti muafaka
0 comments:
Post a Comment