Facebook

Friday 30 May 2014

Recho Haule na mwanae wazikwa pamoja....

 RECHO: Hapa ndipo alipoanza anza siku yake ya kwanza leo kwenye makazi yake mapya mbinguni. Shimo dogo ni kaburi ya mtoto wake aliyefariki muda mfupi baada ya kumzaa!


 Mchumba wa Recho Akiaga kwa Uchungu
Hapa Wakiingiza Jeneza Dogo la Mtoto 

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari na picha za matukio mbalimbali yanayotokea.

0 comments:

Post a Comment