Facebook

Friday, 30 May 2014

Pep Guardiola amuoa mchumba wake waliyezaa nae watoto 3

2,w=650,c=0.bildHatimaye kocha wa klabu bingwa ya Ujerumani Bayern Munich, Pep Guardiola amefunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu Cristina Serra leo hii, na bosi huyo wa Bayern na mchumba wake waaliamua kufanya ndoa hiyo kwa kawaida kabisa bila shamra shamra zozote.
Ndoa hiyo imefungwa kiserikali huko Matadepera, Catalonia, Spain.
Pep na mchumba wake Cristina, kwa pamoja na watoto wao watatu na wazazi wao, walifanya sherehe ndogo kuhalalisha mapenzi yao.
Tazama picha hapo chini namna ndoa ya Guardiola ilivyokuwa
o_MDSIMA20140529_0125_1
Guardiola mwenye shati la kaki na mkewe Cristina mwenye suruali nyeusi pamoja kti jekundu wakisindikizwa na ndugu zao kwenda kufunga ndoa.
i_MDSIMA20140529_0126_1

Related Posts:

  • Picha za Gari jipya la Ney wa Mitego.   Mastaa mbalimbali wa Tanzania wamekua wakionyesha magari yao ambayo mengi yamekua ya kifahari,kwa mwaka 2014 ni mwaka unaonyesha wasanii wengi kumiliki magari ya gharama zaidi,mpaka sasa ni zaidi ya wasanii watano … Read More
  • Kelly Rowland "Mama Kijacho" ?    Mwimbaji wa Marekani Kelly Rowland ameonekana kuthibitisha taarifa kuwa ni mja mzito. Huu utakuwa uja uzito wa kwanza kwa msanii huyu wa zamani wa kundi la Destiny's child. Kupitia ukurasa wake wa Instagr… Read More
  • Harrison Ford aumia aki"shoot" filamu.   Nyota wa filamu wa Marekani Harrison Ford ameumia wakati akiigiza filamu mpya ya Star Wars: Episode VII. Ford amepelekwa hospitali baada ya kuangukiwa na mlango katika studio za Buckinghamshire, Uingereza. Haifahami… Read More
  • Mapya yajiri,baada ya kifo cha Gorge Tayson ! KAMA huna taarifa, habarika sasa kwamba, mwili wa aliyekuwa mwongoza filamu za Kibongo, marehemu George Otieno Okumu ‘Tyson’ (41) aliyefariki dunia Mei 30, mwaka huu kwa ajali mbaya ya gari nchini Tanzania na kusafiri… Read More
  • Wiz Kid na Chris Brown waingia studio pamoja. Inaonekana kuwa mwanamuziki kutoka nchini Nigeria yupo jikoni akitengeneza wimbo pamoja na Chris Brown kutoka nchini Marekani. Kupitia Instagram WizKid ameweka picha hii akiwa na Chris Brown na kuandika “Studio!! @chrisbr… Read More

0 comments:

Post a Comment