Facebook

Thursday 29 May 2014

Msami "Sound Track" azama kwa Irene Uwoya, girlfriend wake adai Uwoya kumlaghai Msami

Msanii kutoka Tanzania House of Talent Msami Giovanni ambaye kwa wakati huu ana hit na ngoma yake ya Sound Track kwa wakati huu inasemekana eti yuko katika dimbwi zito la mahaba na muigizaji maarufu wa Bongo Movie Irene Uwoya
Baada ya kuulizwa Msami mwenyewe, alikataa kujihusisha kimapenzi na Uwaoya lakini girlfriend wake ambae wamegombana kwa sasa juu ya swala hilo, amefunguka yote.


Rehema ambaye pia ni Dancer mkali sana maarufu akatiririka kuwa ni kweli taarifa hizo anazo ila ana uhakika Msami atarudi kwake wala hana Wivu na Uwoya na anachofahamu Irene Uwoya alimlaghai Msami kwa kumwambia  anataka kuwa meneja wake kwa kuusimamia muziki wa Msami, sasa tangia hapo wawili hao wakazama kwenye Dimbwi zito la mahaba.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata taarifa na skendo mbalimbali zinazowahusu wasanii

0 comments:

Post a Comment