Facebook

Thursday, 29 May 2014

Vitu 10 nilivyo vigundua baada ya Michuano ya UEFA

 
1. Modric na Di Maria wameonesha kama wao ni moja kati ya wachezaji muhimu zaidi Madrid kwa sasa.
 Photo

2. Siwalaumu Atletico, wamecheza fainali mbili ngumu sana ndani ya siku 7, dakika 210 ni ndefu na ngumu zaidi kuzitumia ndani ya siku saba ukicheza na Barcelona then Real Madrid!
 

3. Sitoshangaa Iker Casillas akisign out football baada ya World Cup, Goli alilofungwa limethibitisha kaishiwa Cognition na bone marrow ktk mifupa yake.....Ashukuru walishinda ila km wangefungwa, basi uzembe wake unge-affect ata nafasi yake kombe la dunia!! Kingekuwa kitu cha kuzungumzwa sana!
 Photo: Foto con mi hijo Martín y #LaDecima !!  

#MadridismoPorBandera
4. Arda Turan na Diego Costa waliongeza uzito wa mechi. Pengine dakika 180 zingechezwa vizuri!

5. January, nategemea kumuona Christiano Ronaldo kavaa suti nzuuri na Ballon d'Or ya tatu mkononi! Hana mpinzani!
 

6. Marcelo, Ingekua ni Wenger angeshambadil kuwa winga. Goli alilofunga nadhan ata Thibaut Courtois hakuwaza Marcelo alichowaza, Hata Ancelotti hakuwaza vile.
 
7. Ramos, Kwangu ndo beki bora wa msimu, katika watu wa kushukuriwa sana na bodi nzima ya Galacticos natumai na yeye yumo. Ni haki kuwemo katika FIFA Starting XI...Sitoshangaa  akitajwa katika Ballon d'Or three Nominees!

 Photo: Este gol tiene un nombre: Paqui (mi madre). Un punto más que nos sigue manteniendo aspirantes al título. Hala Madrid

This goal has one name: Paqui (my mom). One more point that keeps us in the run for the title. Hala Madrid..!!

8.Diego Godin, nimeona kazi yako bro. Umekuja kuonekana bora mwishoni mwa ligi ila km Atlectico wangekua mabingwa....Bhasi we ndo ungekua shujaa wao kwa goli zako mbili ktk mechi zako mbili za mwisho!...Nakusubiri kombe la dunia.
 

9.Diego Simeone, alijisahau mapema, aliona kazi ashaimaliza, badala ya  Raul Garcia angeingia Mario Suarez kidogo mpira ungeongezeka kasi, Alichokifanya Ancelotti ni kuweka vijana...Marcelo na Isco walimalza ujanja wote wa Atletico

10. Siioni Atletico ikianguka hata akiondoka Diego Costa, timu bado wanayo ya kuendeleza challenges, kama ningekuwa Chicharito nisingejiulza kuondoka km wakinitaka. Ningelazimisha usajili!

      Imeandaliwa na......
                              Katemi Peter Methsela (Blogger) 
                                            +255 785 442 107

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kusoma makala mbalimbali kutoka kwa wachambuzi makini

0 comments:

Post a Comment