Facebook

Thursday 29 May 2014

Je Wajua kama DSM ilikuwa hivi ?

Hapo ni magogoni area.Kama unaelekea kivukoni kabla hujakata kushoto kwenda Ikulu.Karibu kabisa na idara ya takwimu. Kwa lugha nyepesi hiyo ndo barabara mpya inayojengwa sasa hivi 

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbali na tunakukumbusha vitu na sehemu tofauti tofauti ambazo haujawahi kuzionanau haukuziona.Jukumu letu sisi ni kukuburudisha

0 comments:

Post a Comment