Cristiano
Ronaldo ameendelea kumfunika mpinzani wake Lionel Messi, baada ya
kumshinda kwenye uchezaji bora wa dunia, ufungaji bora wa La Liga na
Champions League, na utajiri, sasa kwa mujibu wa taasisi ya uchunguzi na
uchambuzi wa masoko ya Repucom umemtaja mshambuliaji huyo wa Real Madrid kuwa ndio staa wa soka mwenye thamani kubwa kwenye masuala ya kibiashara.
Kwa mujibu wa Repucom ndio mwanasoka
mwenye mvuto mkubwa wa kibiashara kwa makampuni makubwa duniani kutokana
ufuasi mkubwa wa mashabiki alionao kupitia mitandao ya kijamii.
Ronaldo ana likes millioni 82 kwenye mtandao wa Facebook, wakati
anayemfuatia Messi ana likes millioni 57, kwenye twitter Ronaldo tena
ameongoza kwa kuwa na wafuasi millioni 26.
Utafiti pia umeonyesha Ronaldo anatambulika zaidi duniani kuliko
wachezaji wenzie, akipata asilimia 87% ya watu waliofanyiwa utafiti huo.
Wachezaji wengine waliongia kwenye listi hiyo ya wachezaji wenye mvuto mkubwa wa kibiashara kulingana na umaarufu ni Cristiano Ronaldo, Lionel Messi, Gerard Pique, Fernando Torres, Wayne Rooney – hawa ndio waliounda Top 5.
LISTI KAMILI IPO HIVI

Related Posts:
Mrundi aitwa kikosi cha Uingereza
Mshambuliaji wa klabu ya West Brom ya Uingereza, Saido Berahino
ametajwa katika kikosi cha England kwa mara ya kwanza na meneja Roy
Hogson. Berahino, 21, huenda akacheza mechi dhidi ya Slovenia ya kufuzu Euro 201… Read More
UCHAMBUZI:LIVERPOOL vs CHELSEATAREHE 8 NOVEMBA 2014
LIGI KUU YA UINGEREZA
LIVERPOOL V CHELSEA
ANFIELD
Saa 9:45 alasiri:
HABARI ZA KILA TIMU KWA UFUPI:
Nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard anatarajiwa kuanza kwenye mechi ya Leo baada ya kuanzia… Read More
Liverpool vs Chelsea:LIVE COMMENTARYLIGI KUU ENLGAND: LEO KUANZIA SAA 9 DAK 45
MCHANA LIVERPOOL v CHELSEA
VIKOSI:
Liverpool: Mignolet; Johnson, Skrtel, Lovren,
Moreno: Can, Henderson, Gerrard; Coutinho,
Sterling, Balotelli.
Kiba: Brad Jones, Toure, Lambert, Lal… Read More
Habari za Michezo Kutoka Bongofun.blogspot.com
ARSENAL WATAWALA KIKOSI CHA ENGLAND,MRUNDI BERAHINO NAYE NDANI
Wayne Rooney na Wilshere
&nbs… Read More
Kombe la Dunia 2022 liko 'Njia Panda'
Rais wa shirikisho la vyama vya soka
barani Ulaya-Uefa, Michel Platini amesema kuwa fainali za kombe la
dunia za mwaka 2022 nchini Qatar lazima zichezwe kipindi cha majira ya
baridi.
Mchezaji huyo wa zamani wa Ufa… Read More
0 comments:
Post a Comment