Facebook

Saturday, 31 May 2014

Muongozaji wa Filamu Nchini, George Tayson afariki dunia.....

Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.30 AM
Muongozaji wa Filamu Nchini Tanzania George Tyson,afariki dunia kwa ajali mbaya.Director huyo Mwenye Asili ya Kenya anaye fanyia shughuli zake nchini Tanzania amejizolea Umaarufu Mkubwa nchiniTanzania kwa Kuongoza baadhi ya Filamu za Kitanzania na hizo Filamu
ya kwanza ni Girl Friend na Dilema amepata ajali  eneo la Gairo mkoani Morogoro.
Dj Choka ambaye alikuwa katika safari moja na marehemu George Tayson amesema kuwa marehemu alikuwa katika kijiji cha Chamwino,mkoani Dodoma kweneye shughuli ya utoaji madawati katika shule ya msingi Chaula.
Baada ya kumalizika kwa zoezi hilo marehemu George Tayson kama Producer wa The Mboni Show alifikwa na mauti majira ya saa 12 jioni ikiwa ni masaa 4 tu tangu waanze safari kutoka Dodoma kurudi Dar es Salaam,ajali hiyi ilitokea eneo lililokaribu na Gairo mjini

Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.30 AM 

Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.12 AM
Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.38 AM 
Picha za gari alilopata nalo ajali Marehemu George Tayson hapo jana katika  eneo la Gairo mkoani Morogoro
Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.50 AM
Kwenye hiyo safari, George Tyson aliambatana na mtangazaji Mboni Masimba wa The Mboni show.
Screen Shot 2014-05-31 at 3.46.58 AM
Screen Shot 2014-05-31 at 3.47.07 AM

Picha mbalimbali za Marehemu George Tayson ambaye alikuwa director wa kipindi cha The Mboni Show,ambaye alikuwa ameambatana na Mboni Masimba,Dj Choka na watu wengine katika shughuli ya ugawaji wa madawati katika shule ya msingi Chaula.

Baada ya kutokea kwa ajali hiyo Zamaradi Mketema aliandika hiki katika akaunti yake ya Instagram.
Kazi yetu sisini kukuhabarisha-Like page yetu facebook hapa chini upate habari zote hizi kwa aharaka zaidi

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kupata taarifa zote kuhusiana na Msiba huu mkubwa uliyoikumba tasnia ya filamu nchini na Taifa kwa ujumla 

0 comments:

Post a Comment