Zawadi na tuzo zimetolewa kwa timu zilizofanya vizuri na wachezaji waliong’ara msimu wa ligi kuu ya Vodacom 2013/2014 na kukabidhiwa zawadi kwa thamani ya pesa na vikombe leo na mdhamini wa ligi hiyo ambae ni Vodacom Tanzania.
imetoa jumla ya milioni mia mbili sitini na mbili (262,000,000) kwa washindi wote ligi kuu.
Kocha bora msimu wa 2013/2014 ni Juma Mwambusi wa Mbeya City FC, golkipa bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Hussein Sharifu wa napata zawadi ya Tsh 5,200,000 na tuzo.
Mchezaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Kipre Tchetche wa anapata Tsh 5.2M, mfungaji bora msimu wa mwaka 2013/2014 ni Amisi Tambwe wa
timu yenye nidhamu msimu wa mwaka 2013/2014 ni ambayo imezawadiwa Tsh 16M.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata taarifa mbalimbali kuhusiana na michezo na burudani
Related Posts:
SIMEONE AFUNGIWA MECHI NANE
Kocha wa Atletico Madrid Diego Simeone
amefungiwa mechi nane kwa utovu wa
nidhamu alioonesha kwenye mechi ya Spanish
Super Cup. Simeone, 44, alimgusa mmoja wa
waamuzi kisogoni katika mechi iliyokuwa
imejaa hamasa kati ya Atl… Read More
Kikosi cha taifa stars kitakachopambana na Morocco chatajwa.
Morocco ( Atlas Lions) v Tanzania ( Taifa Stars),
5 Septemba... Haya ni majina ya wachezaji wa
STARS yaliyotangazwa na mkufunzi mkuu, Martin
Nooij....
MAKIPA,
Deogratius Munish ( Yanga SC),
Mwadini Ally Mwadini ( Azam FC),… Read More
Barcelona yaanza ligi kwa ushindi mnono..
Barca imefungua msimu kwa ushindi mkubwa dhidi ya Elche
Lionel Messi alifunga mabao
mawili na kuisaidia Barcelona kuilaza Elche mabao 3-0 katika me… Read More
Manchester City yaigaraza Liverpool.
MABINGWA wa England, Manchester City, Jana Usiku wakiwa kwenye uwanja wao Etihad
wameonyesha kuwa hawana mzaha walipoitandika Timu iliyomaliza Nafasi ya
Pili Msimu uliopita, Liverpool,magoli 3-1 katika Mechi ya Ligi Kuu
… Read More
KAULI YA BALOTELI BAADA YA KUTUA RASMI LIVERPOOL
"Nadhani nilifanya makosa kuondoka England,nilipenda kwenda Italy lakini nmegundua lile lilikua kosa"
>Akizungumzia huamisho wa Baloteli kocha wa Liverpool Brandan Rosgers amesema "Uhamisho huu umefata misingi ya kl… Read More
0 comments:
Post a Comment