Wednesday, 28 May 2014
Wachezaji Wa Real Madrid Wakiwa Studio Kurekodi nyimbo mpya ya ‘Hala Madrid’
Wachezaji wa timu bingwa ulaya Real Madrid na kocha wao Carlo Ancelotti, Zinedine Zidane wameingia studio May 25 2014 kurekodi tolio jipya la wimbo wa klabu ‘Hala Madrid’. Hii ni katika kusherekea ubingwa wao wa 10 na rekodi waliyoweka.
Hizi picha wakiwa studio, Iker Casillas, Angel Di Maria, Bale, Cristiano Ronaldo, Marcelo, Wapo Humu.
nknkm, .,
0 comments:
Post a Comment