Facebook

Friday 30 May 2014

Haya sasa wapenda Versace,kampuni hiyo wametoa T-shirts maalum kwa ajili ya kombe la dunia

z4hMfetk_ZogCiE8Kmapuni ya mavazi ya Versace wametoa T-shirts maalum kabisa kwa ajili ya kuvaliwa wakati huu wa kombe la dunia.
T-shirts hizo ambazo zimeanza kuuzwa kwenye mtandao zinauzwa kwa bei ya  $690 na £410 kulingana na size na material yaliyotumika kutengeneza.
Fulana hizo zimepewa jina la “Versace Loves Brazil T-shirt”.
screen-shot-2014-05-28-at-10-32-17-am

0 comments:

Post a Comment