Facebook

Thursday 29 May 2014

Mmiliki wa klabu ya Manchester United,Malcom Glazer afariki dunia.

Screen Shot 2014-05-28 at 11.38.55 PM
Mmiliki wa club ya soka ya Manchester United Malcolm Glazer alieinunua club hiyo toka mwaka 2005, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 85 huku akiacha mke, watoto sita na wajukuu kumi na nne.
Glazer aliyekua akiishi Palm Beach Florida Marekani, amekua akiugua kwa miaka kadhaa hivi sasa na biashara zake kama club ya Manchester United zimekua zikiendeshwa na familia yake.

Siku ya leo May 28 2014 ni mwaka mmoja umetimia toka afariki staa wa bongofleva Albert Mangweha ambapo leo hii dunia imepata misiba miwili mikubwa ambapo mmoja ni wa
 Mwanaharakati, mshairi na mwandishi mahiri wa vitabu
 duniani Maya Angelou pamoja na Malcom Glazer.

Kwa upande mwingine ilikuwa ni siku ya kuzaliwa kwa

mwanzilishi wa katemimethsela.blogspot.com.

Source:manutd.com

0 comments:

Post a Comment