Facebook

Wednesday 28 May 2014

Timu Ya Taifa Ya Brazil Wakipimwa Afya Katika Uwanja Wa Granja Comary....


t 2
Tukielekea kwenye mashindano ya kombe la dunia kila timu imejiimarisha kwajili ya mashindano haya. Brazil ambao ni wenyeji wa kombe la dunia litakapoanza 12 June 2014. Kama ushaidi wa picha hapo chini unaonyesha kuwa ratiba ya timu hio inaendelea vizuri.
Chini ya usimamizi wa kocha Luiz Felipe Scolari  wachezaji wake wamepimwa vipimo vyote vya afya katika uwanja wa mazoezi wa Granja Comary mjini Teresopolis.


tDavid Luiz t 6 t 5 Dante dante 2
t 4Thiago Silva t 3David Luiz

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata taarifa na picha mbalimbali ambazoo huwezi kuziona sehemu nyingine

0 comments:

Post a Comment