Facebook

Thursday 29 May 2014

Picha za harusi ya Kanye West na Kim Kardashian

Screen Shot 2014-05-29 at 12.26.15 AM 
Najua stori ya Kanye West na Kim Kardashian kufunga ndoa sio mpya ila kilichokua kinasubiriwa sana ni picha za harusi yenyewe manake zilichelewa kutoka baada ya wawili hawa kufunga ndoa huko Italia walikokwenda kwa kutumia ndege binafsi.
Screen Shot 2014-05-29 at 12.26.26 AM
Screen Shot 2014-05-29 at 12.26.34 AM  

Sasa hivi mastaa hawa bado wapo kwenye mapumziko ya honeymoon ambapo wanatarajiwa kutembelea sehemu za kitalii Ireland mpaka Ijumaa hii kisha watarudi Marekani kwa kutumia ndege yao binafsi.
Screen Shot 2014-05-29 at 1.05.09 AM
Screen Shot 2014-05-29 at 1.05.21 AM 
Wawili hawa saa kadhaa zilizopita wameonekana Portlaoise, Co Laois walipokwenda Cinema ambapo walionekana na wasaidizi wao pamoja na walinzi wao kila walikokanyaga kama unavyoona kwenye picha hapa chini.
Screen Shot 2014-05-29 at 1.19.25 AMScreen Shot 2014-05-29 at 1.18.16 AM

Screen Shot 2014-05-29 at 1.36.07 AM 

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari za mastaa mbalimbali za mastaa  duniani kote

0 comments:

Post a Comment