Facebook

Saturday 31 May 2014

Tetesi mbalimbali za Usajili barani Ulaya...


 Photo: TETESI ZA SOKA ULAYA
Beki wa Arsenal Bacary Sagna amethibitisha kuwa anaondoka Emirates na huenda akaenda Manchester City (L'Equipe), Atlètico Madrid wamekataa paundi milioni 9 kutoka Arsenal za kumnunua Juanfran kuziba pengo la Sagna (Daily Mirror), Chelsea na Man City wanamgombania beki wa kati wa Roma Mehdi Benatia. Chelsea wapo tayari hata kumtoa Lukaku kwa Roma ili kumpata huyo kutoka Morrocco (Daily Express), Striker Wa Man City Alvaro Negredo anasakwa na Atlètico Madrid ili kuziba pengo la Diego Costa anayetarajiwa kujiunga na Chelsea (Daily Mirror), winga wa Real Madrid Angel Di Maria amekiri kuwa huenda akaondoka, Huku Arsenal, Man City na Man United wakiwa tayari kupanda dau (Daily Star), Manchester United na Manchester City watalazimika kusubiri hadi baada ya Kombe la Dunia kuja hatma ya beki wa Porto Eliaquim Mangala, atakapo amua anataka kwenda wapi (Daily Star), winga wa Dnipro Yevhen Konoplyanka ambaye almanusura ajiunga na Liverpool, sasa ananyemelewa na Manchester United (Talksport), Liverpool huenda wakawazidi kete Chelsea kumsajili Lazar Markovic kutoka Benfica (Daily Star), Chelsea wameanza mazungumzo na Besitkas kuhusu Demba Ba. Jose Mourinho pia anataka kumchukua Jose Callejon (Evening Standard), Manchester United wanafikiria kumchukua kiungo wa Atlètico Madrid Koke (El Confidencial), Liverpool wanakaribia kukamilisha usajili wa Rickie Lambert kutoka Southampton kwa paundi milioni 7 (Daily Mirror). Share tetesi hizi na wapenda soka wote. Tetesi nyingine kesho panapo majaaliwa.
Beki wa Arsenal Bacary Sagna amethibitisha kuwa anaondoka Emirates na huenda akaenda Manchester City (L'Equipe), 
 
Atlètico Madrid wamekataa paundi milioni 9 kutoka Arsenal za kumnunua Juanfran kuziba pengo la Sagna (Daily Mirror),
 
 Chelsea na Man City wanamgombania beki wa kati wa Roma Mehdi Benatia. Chelsea wapo tayari hata kumtoa Lukaku kwa Roma ili kumpata huyo kutoka Morrocco (Daily Express), 
 
Striker Wa Man City Alvaro Negredo anasakwa na Atlètico Madrid ili kuziba pengo la Diego Costa anayetarajiwa kujiunga na Chelsea (Daily Mirror), 
 
Winga wa Real Madrid Angel Di Maria amekiri kuwa huenda akaondoka, Huku Arsenal, Man City na Man United wakiwa tayari kupanda dau (Daily Star), 
 
Manchester United na Manchester City watalazimika kusubiri hadi baada ya Kombe la Dunia kuja hatma ya beki wa Porto Eliaquim Mangala, atakapo amua anataka kwenda wapi (Daily Star), 
 
Winga wa Dnipro Yevhen Konoplyanka ambaye almanusura ajiunga na Liverpool, sasa ananyemelewa na Manchester United (Talksport), 
 
Liverpool huenda wakawazidi kete Chelsea kumsajili Lazar Markovic kutoka Benfica (Daily Star),
 
 Chelsea wameanza mazungumzo na Besitkas kuhusu Demba Ba. Jose Mourinho pia anataka kumchukua Jose Callejon (Evening Standard), 
 
 Manchester United wanafikiria kumchukua kiungo wa Atlètico Madrid Koke (El Confidencial), Liverpool wanakaribia kukamilisha usajili wa Rickie Lambert kutoka Southampton kwa paundi milioni 7 (Daily Mirror). 
 
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata habari mbalimbal;i zinazohusiana na  usajili.

0 comments:

Post a Comment