Facebook

Friday 30 May 2014

Mwigulu Nchemba aamrishwa kuvua Skafu mara moja ndani ya ukumbi wa Bunge

Mwigulu Nchemba ni mpenda sifa sana.Anadhani kila mwananchi anaipenda skafu yake na hivyo kumuonyesha kuwa mbunifu na wa kipekee. Awe anaheshimu mahali anapokuwa kama Bungeni, Mahakamani,kanisani na kwingineko kunakohitaji heshhima ya juu. Hongera Spika Makinda kwa kusema na kuamuru kuvuliwa kwa skafu ya Mwigulu Nchemba
 
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kufahamu kila kitakachokuwa kinaendelea huko Dodoma kwenye Bunge la bajeti

0 comments:

Post a Comment