May 28 2014 Ni mwaka Mmoja Leo toka Tanzania impoteze msanii Albert
Mangwear aliyefariki akiwa South Africa. Ngwear alikuwa rapper mwenye
uwezo mkubwa wa kuandika, kutumbuiza na kufanya muziki bora wa rap
ulioweza kuishi miaka mingi baada ya kutoka. Ngwear amewahi kufanya kazi
na wasanii na producers wengi Tanzania katika kutengeneza muziki wake
na muziki wa wasanii wengine.
Ikiwa ni mwaka mmoja toka Tanzania impoteze Albert Mangwear hizi ni Post za wasanii Tanzania kuhusu Mwenzao.
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kufahamu tweets na post mbalimbali kuhusiana kutimia kwa mwaka moja tangu Albert Mangwair afariki dunia....
0 comments:
Post a Comment