Kwa habari zilizotufikia hivi punde kutoka Chuo Kikuu Cha Dar Es Salaam ni kwamba mwanafunzi wa Chuo hicho ambaye ni binti mdogo sana anaeitwa HAPPY SEKABENGA,aliyekuwa anasoma degree ya BCOM in ACCOUNTING mwaka wa pili.
Amefariki ghafla akiwa kitandani akiwa amesinzia usingizi mzito kataka Vyumba vya kulala wanafunzi-Hall 1,Block E
Nimejaribu kufuatilia chanzo cha kifo hicho lakini nimeambiwa kuwa.......Marehemu Happy Sekabenga alipotoka madarasani mida ya saa 5 asubuhi aliwaaaga wenzake kuwa anenda kulala lakini itakapofika saa 8 mchana wamwamshe..
Kwa bahati mbaya kumbe ndio ilikuwa siku ya mwisho kwa Happy Sekabenga alipolala hakuamka tena...Hivi ndivyo jinsi mauti yalivyomkuta.
Lakini tunasubiri ripoti ya madaktari kuhusiana na undani wa kifo cha mwanafunzi huyo...hapo kesho tarehe 31

Hii ni video inayoonyesha kipindi walipokuwa wanautoa mwili wa mwanafunzi huyo alipokuwa amelala (Hostel) hadi mauti yalipomkuta
Happy Sekabenga enzi za uhai wake
Picha ya hapo juu ni madaktari na watoa huduma ya Afya Chuo kikuu cha DSM walipokuwa wanautoa mwili wa Happy Sekabenga kutoka Chumba alichokuwa amelala hadi mauti yalipomkuta kwa ajili ya uchunguzi na kuuhifadhi mwili wa marehemu.
Hapo juu ni mwili wa Happy Sekabenga akiwa kitandani baada ya kufikwa na mauti......Inasikitisha sana
Madakatari walipokuwa wanautoa mwili wa Marehemu kutoka katika chumba alichokuwa amelala hadi mauti yalipomkuta
Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com uweze kujua undani wa kifo cha Binti huyo
Bwana ametoa Bwana ametwaa Jina Lake lihimidiwe.Tumuombee mwenetu aliyetangulia mbele za Haki..........................R.I.P HAPPY SEKABENGA
0 comments:
Post a Comment