Facebook

Thursday, 29 May 2014

Unamjua shabiki aliyeshangilia na Ronaldo siku ya fainali UCL.kumbe ni mtu muhimu sana kwa Cr7..soma kisa chake hapa..

  Baada ya kufunga goli na mechi kumalizika ya fainali ya UCL Cristian Ronaldo alionekana akienda kwa mashabiki na kumuita shabiki mmoja aliyekuwa uwanjani kujan kushangilia na na kumkumbatia.Niliamua kufuatilia tukio hilo ni kwa nini alienda kumkumbatia shabiki yule,kumbe Ronaldo alikuwa anarudisha fadhili...Fuatilia kisa hiki hapa....Ronaldo alipokuwa anahojiwa alisema kwamba......
    
  Lazma nimshukuru rafiki yangu kipenzi Albert Fantrau kwa mafanikio nilioyapata 
 Tulicheza pamoja katika club ya vijana wa mtaana kule nyumbani Ureno lakina walipokuja watu kutoka Sporting Lisbon walitueleza kwamba yeyote atakaefunga magoli mengi basi tutumchukua na kumpeleka kwenye Academy ya Sporting Lisbon.
 Mechi hiyo tulishinda 3-0 nilifunga goal la kwanza kisa Albert alifunga goal la pili kwa kichwa baada ya hapo Goal la 3 ndilo liliomvutia kila mmoja wa mashabiki na viongozi wa Sporting Lisbon
Albert alikimbia na mpira akapiga chenga mabeki watatu mimi hapo nilikua nakimbia pembeni yake kisha akampiga na kipa chenga akabaki na nyavu zinamtazama alichotakiwa ni kutumbukiza mpira wavuni lakini cha ajabu alinipasia mimi nikatumbukiza mpira wavuni baada ya mechi kuisha mimi Cr7 nikachukuliwa na Academy ya Sporting Lisbon na Albert  akaachwa lakini baada tu ya mechi kuisha nilimfuata Albert nikamuulza  
"kwa nn hukufunga lile goal uchukuliwe wewe " 
Akajibu "wewe ni bora zaidi yangu "  
Miaka michache baada ya hiyo story kuvuja waandishi wa Habari walienda nyumbani kwa Albert Fantrau kumuuliza kama story hiyo ilikua ni kweli? 
Akathibitisha ni kweli pia akasema maisha yangu ya Soka ya (Albert Fantrau) yaliishia pale baada ya Mechi kuisha na Cr7 kuchukuliwa na Academy  ya Sporting Lisbon na sasa Sina Ajira. wakamuuliza tena 
"Umepata wapi Nyumba na  magari ya kifahari yote haya maana unaonekana ni mtu tajiri na unalea family yako vyema akajibu"
Hivi vyote ni kutoka kwa rafiki yangu kipenzi 
 CRISTIAN RONALDO (Cr7)

Endelea kutembelea katemimethsela.blogspot.com kupata visa mbalimbali vya mastaa ambavyo haujawahi kuvisikia na usingevisikia kutoka sehemu nyingine.Jukumu letu sisi ni kukuhabarisha.
 

0 comments:

Post a Comment