Cristiano Ronaldo amempita rasmi Di Stefano katika listi ya
wafungaji bora wa muda wote wa Real Madrid kwa kufikisha magoli
309. Akimnyemelea Raul mwenye magoli 323. Akiendelea kubaki
Bernabeu msimu ujao ataivunja rekodi hii na kuweka ya kwake! Jana amefunga hat trick yake ya saba kwenye la liga msimu huu!
Monday, 18 May 2015
Ronaldo aweka rekodi nyingine Madrid.
Related Posts:
Yanga kupinga maamuzi ya TFF juu ya Okwi.Uongozi wa klabu ya Yanga umesema utapinga maamuzi ya kamati ya Sheria na Hadhi ya Wachezaji kuhusiana na maamuzi yake ya kumtangaza mchezaji wake, Emmanuel Okwi kuwa huru. Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria ya Yanga, Sam Mapande… Read More
Maicon aondolewa timu ya taifa ya Brazil kwa kashfa ya "Ushoga" Brazil ilicheza mechi ya kirafiki na Colombia kule Miami Florida, hapo jumamosi, ikaibuka na ushindi wa 1-0, kwa goli lililofungwa na mshambuliaji wa Neymar. Hivi sasa Brazil inajiandaa kukipiga na Ecuador hapo Jumatano, Se… Read More
John Bocco aanza mazoezi Captain John Bocco ameanza mazoezi kidogo kidogo katika Gym ya kisasa ya Azam FC hapa Chamazi - Azam Complex, Captain anaendelea vizuri na jeraha lake alilolipata Kigali Rwanda akiitumikia timu yake ya Azam FC. Hii ni leo asb… Read More
Danny Welbeck aing'arisha Uingereza.Danny Welbeck straika mpya wa Arsenal alifunga mara mbili kuisaidia England kuifunga Switzerland kwa bao 2-0 katika mchezo wa kufuzu michuano ya Euro 2016. Mchezaji huyo wa zamani wa Manchester United aliziona vyavu dakika ya… Read More
FAIDA YA MAN UTD 'KUTETEREKA'Manchester United imetangaza kuporomoka kwa faida ya kila mwaka wa fedha katika mwaka ambao David Moyes alikuwa meneja. Klabu hiyo ya Ligi Kuu ya England imesema kipato halisi kimeporomoka kwa asilimia 84 na kufikia takriban … Read More
0 comments:
Post a Comment